Type Here to Get Search Results !

KUHAMA VACANT/FACULTY PINDI UINGIAPO CHUO

3

Kwa mujibu wa sera toka TCU.zina ruhusu mwanafunzi kubadilisha faculty pindi ingiapo chuo kwan mara nyingine udahili hukukosowa na system husika na kupelekea mtu kuchaguliwa vacant asiyotaka.hivyo basi kila chuo hutoa nafasi kwa mtu yoyote kuhama faculty

Umekwisha chaguliwa chuo pongezi.. hukufanikiwa usikate tamaa nenda zioni ama amazon bado kuna nafasi mpendwa. kwa aliye chaguliwa  fuata haya

ZINGATIA FACULTY UNAYOSOMA;
1.je umeiichagua kutoka moyoni? kwann unasoma vacant hiyo ? tahadhari vacant yoyote ile unayo soma hakikisha inakupa unafuu badae kutokana na ushindani katika soko la ajira, mbali na hilo faculty unayosoma iwe inakuaanda kujiari au kukupa nafasi ya kuwa mbunifu.
2.Usisome faculty kwa sababu flan anasoma.Soma faculty kwa sababu una malengo nayo.
3.maisha ya chuo si rahisi kama wengi wadhani avyo "Nikama umepewa mgonjwa umitibu lakini huna ujuzi wa kidaktar"

NINI KIFANYIKE PINDI UMEGUNDUA UNAHITAJI MABADILIKO YA FACULTY:
hakikisha unamliza usajili wote wa chuo husika ulicho pangiwa ikiwamo ADA na MENGINEYO
vyuo vyingi hutumia wiki ya kwanza kuwaruhusu wanafunzi kubadili faculty zao. utapewa barua utajaza na kuendelea na masomo. japo sirahisi kutoka faculty moja kwenda nyingine lakini 'kuwa na imani unaweza yote katike yeye akutia nguvu"

kwa maelezo zaidi tembelea OFISI YA MSHAURI WA WANAFUNZI katakupa urahisi zaidi.
KWA anae hitaji kuhama chuo bofya hapa HAPA;


toa maoni swali , msaada, waweza comment  na kushare kusaidia wenzetu
Tags

Post a Comment

3 Comments
Anonymous said…
Hee ������ zioni
Unknown said…
Your article is very Usefull